Writen by
sadataley
5:30 PM
-
0
Comments
Waziri Mkuu, Mizengo Pindaakitoa heshima za mwisho kwa Askofu John Andrew Simalenga katika mazishi ya Askofu huyo wa Dayosisi ya South West Tanganyika ya Kanisa la Anglican lyaliyofanyika Njombe Novemba 28, 2013. Kushoto ni Askofu Mkuu wa kanisa la Anglican nchini, Dr. Jacob Chimeledya
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Anne Makinda wakishiriki katika Ibada ya mazishi ya Askofu wa Kanisa la Anglican Dayosisi ya South West Tanganyika yaliyofanyika Njombe
Mwili wa Askofu wa Kanisa la Anlican Dayosisi ya Southa west, John Andrew Simalenga ukitelemshwa kaburini kwenye mazishi yaliyofanyika kwenye kanisa kuu la Dayosisi hiyo mjini Njombe
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la Askofu wa Dayosisi ya South West Tanganyika , John Andrew Simalenga katika mazishi yaliyofanyika leo Njombe |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika ibada ya mazishi ya Askofu wa Kanisa la Anglican Dayosisi ya South West Tanganyika , John Andrew Simalenga yaliyofanyika leo Njombe Novemba 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Habari picha na Mtandao wa Issa Mwichuzi
Habari picha na Mtandao wa Issa Mwichuzi
No comments
Post a Comment