Writen by
sadataley
9:39 PM
-
0
Comments
Maalim Seif ashiriki katika kuuaga mwili wa Dk Mvungi Dar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam, baada ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt. Sengondo Mvungi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiuaga mwili wa marehemu Dkt. Sengondo Mvungi katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam tarehe 16/11/2013.
Jeneza la marehemu Dkt. Sengondo Mvungi. Viongozi mbali mbali walifika viwanja vya Karimjee Dar-es Salaam kwa ajili ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt. Sengondo Mvungi, wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Mohd Gharib Bilal (hayupo pichani).
Habari na www.zanzinews.com
No comments
Post a Comment