Writen by
sadataley
7:00 AM
-
0
Comments
ANGALIA PICHA ZA TUMAINI CHOIR WAKIREKODI VIDEO AFRIKA YA KUSINI
![]() |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tumaini waliokwenda Afrika ya kusini wakirekodi video jijini Pretoria. |
![]() |
Tumaini wakiwa sawa kwa rekodi karibu na Ikulu ya Rais jijini Pretoria. |
![]() |
Wababa wakiwa ng'aring'ari na pamba mpya kabisa waliyoibatiza jina la Tembisa sehemu waliyofikia, sare ambayo imevaliwa kwa mara ya kwanza katika ziara hiyo. |
![]() |
Baadhi ya wababa kwaya ya Tumaini wakirekodi video mpya. |
![]() |
Wachina nao wakajichanganya utamu wa muziki ulipozidi. |
![]() |
Kila pozi limerekodiwa. |
![]() |
Zoezi la kurekodi lilianzia kanisa walipofikia. |
![]() |
Maombi ya pamoja kabla ya kuondoka kanisani hapo. |
![]() |
Usafiri ukiwa tayari kuwapeleka Pretoria. |
![]() |
Waimbaji wakiwa nje ya ubalozi wa Tanzania nchini Afrika ya kusini. |
![]() |
Mwenyekiti wa kwaya Dkt. Emmanuel Mtangoo akisaini kitabu cha wageni. |
![]() |
Dkt. Emanuel Mbennah aliyefanikisha Tumaini kufika bondeni akisaini kitabu cha wageni ubalozini. |
![]() |
Picha ya pamoja nje ya ubalozi. |
![]() |
Mwenyekiti wa kwaya Dkt Emmanuel Mtangoo na mkewe Anna wakiwa katika pozi. |
![]() |
![]() |
Waimbaji wa Tumaini wakiwa nyumba aliyokuwa akiishi zamani Rais Nelson Mandela kitongoji cha Soweto. Habari na Gospel kitaa blog |
No comments
Post a Comment