Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, July 9, 2013

Zuma amfuta kazi mpiganiaji wa Uhuru

                                             Tokyo Sexwale
Rais Jacob Zuma, wa Afrika Kusini, amemfuta kazi waziri wake wa nyumba na mkereketwa na vita dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini humo Tokyo Sexwale.
Bwana Sexwale ni mmoja wa mawazirei ambao watapoteza nyadhifa zao katika kile rais Zuma, alichokitaja kama mpango wa kuimarisha huduma za serikali.
Wachanganusi wa masuala ya kisiasa hata hivyo wanasema kuwa Bwana Sexwale amefutwa kwa kuwa alihusika na kampeini ya kumuondoa rais Zuma mwaka uliopita.
Sexwale alifungwa katika gereza la Robben Island pamoja na rais wa kwanza wa nchi hiyo Nelson Mandela.
Yeye ni pia afisa wa ngazi ya juu wa shirikisho la mchezo wa soka duniani Fifa.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment