Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Friday, July 12, 2013

SCRAMBLE FOR TANZANIA (Ushindani wa wawekezaji Tanzania)

Maslahi ya biashara zinazomilikiwa na Wamarekani zinatupiwa macho kote barani Afrika na Tanzania haina tofauti. Mataifa kama India, Brazil na Uturuki yanazidi kujiimarisha katika taifa hili lenye utajiri wa gesi asilia, lakini Wachina ndiyo wanaokena washindani wakubwa kwa Marekani. Hassan Mhelela ameandaa taarifa hii.

TAZAMA VIDEO HAPAhttp://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2013/07/130704_china_tanzania_obama.shtml
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment