Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, July 2, 2013

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WAKE ZA MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani George Bushi pamoja na wake zao Mama Slama Kikwete na Laura Bush mara baada ya kufungua mkutano huo

  Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa wake za ,marais wa Afrika Mashariki leo hii 2Julai,2013

Baadhi ya wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete  akifungua mkutano wa wake za ,marais wa Afrika Mashariki leo hii 2Julai,2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Picha kwa hisani ya Issa Michuzi Blog
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment