Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, July 18, 2013

MOTO WALETA MAAFA KWA MAKAZI YENYE ZAIDI YA WATU 4,000 HUKO CALIFORNIA.

Maafisa wanasema moto wa nyikani katika magharibi ya milima ya Palm Springs Umeharibu nyumba tatu na kupelekea wasiwasi kwa baadhi ya wakazi wa maeneo hayo.
Officials say the wildfire in the mountains west of Palm Springs has destroyed three houses and three mobile homes and is threatening dozens more residences. Baadhi ya wafanyakazi wa kikosi cha zima moto wakiwa katika harakati za kuzima moto huo.
Moto huo umeweza kuchoma msitu zaidi ya maili 30 za mraba,pia kuna mlima mkubwa ambao umeweza kuathiriwa zaidi na moto.  Moto huo umeathiri zaidi maeneo ya  kusini mwa California mahali pa karibu na maeneo hayo ambayo moto umeweza kutokea hata hivyo upo chini ya udhibiti. 
Hata hivyo juudi zilizofanyika ziliweza kusaidia kwa kiasi kikubwa mpaka kupelekea watu zaidi ya 6,000 waliweza kuokolewa,Melody LARDNER alisema. Nyumba zaidi ya 4,000 zilinusurika kupatwa na janga hilo la moto huo. pia alisema zaidi ya wafanyakazi 3,000 wa kikosi cha zima moto walikuwepo katika eneo hilo wakiendelea kuzima moto huo ambao ulikuwa ukiwaka kwa kasi ya ajabu sana. pia alisema kwamba wazima moto ambao walioweza kuudhuria katika tukio hilo waliweza kupata majeraha madogomadogo,pia miundombinu ambayo ilikuwa jirani na maeneo hayo yameweza kuharibiwa na moto huo.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment