Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Wednesday, July 3, 2013

MKUTANO WA WAKE ZA MARAIS AFRIKA MASHARIKI WAFANA JIJINI DAR ES SAALAM



Rais Jakaya Kikwete akiwa na mke wake Mama Salama Kikwete wakizungumza na Rais Mstaafu wa Marekani George Bush wakati wa kikao cha wake wa Marais wa Afrika Mashariki jana kwa ufadhili wa Taasisi ya George Bush

Rais Jakaya Kikwete akiwa na  Rais Mstaafu wa Marekani George Bush wakati wa kikao cha wake wa Marais wa Afrika Mashariki jana

Mke wake Mama Salama Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Marekani George Bush wakati wa  ufunguzi wa kikao cha wake wa Marais wa Afrika Mashariki katika hotel ya Serena jijini Dar es Saalam jana 
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment