Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, July 23, 2013

DARASA LA USHONAJI LAHITISWA LEO HII KATIKA OFISI KUU ZA KKKT DAYOSISI YA IRINGA. NI DARASA LINALOENDESHWA NA IDARA YA WANAWAKE NA MALEZI YA FAMILIA

    Mchungaji Imelda Kisava  Katibu wa Idara ya Wanawake na  Malezi ya Famaili akiwa na  Mchungaji Elisande Muhanga  ambaye ni Afisa Mafunzo 
                                                            Wema Kisawike akipokea cheti kutoka kwa Afisa Mafunzo
                                                Tusamehe  Mgohamwende akipokea cheti

Baadhi ya watumishi wakifurahi jambo kwa pamoja katika hafla hiyo



Furaha Mhoka akitoa neno la Shukrani
Mchungaji Imelda Kisava akimshukuru mwanafuzi aliyetoa neno la shukrani
                       Wanafunzi wakiimba wimbo wa pamoja "Bwana uliyewaita watakatifu wote  namba 74"
Mchungaji Joyce Ngweta akitoa neno la shukrani na pongezi kwa wanafunzi

Katibu Mkuu Bw.Nayman Chavalla  akiwapongeza wahitimu

Wahitimu wakisikiliza nasaha toka kwa Katibu Mkuu wa Dayosisi

Mwalimu Jane Cholobi ndiye aliyekuwa mwalimu wa wahimu hao
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment