Writen by
sadataley
6:03 PM
-
0
Comments
PAPA YOHANE PAULO II
Hapa Papa Francis akitoa salam kwa Papa Yohane II enzi za uhai wake

Baba Mtakatifu Francis I amesema licha ya kuwa muda wa kuwa Mtakatifu kwa mujibu wa taraibu za Kanisa bado lakini kwa ishara na miujiza iliyokwisha tokea na kuoneka inadhihirisha kwamba anapaswa kutangazwa kuwa Mtakatifu.
Na ushahidi ni kutoka huko Ufaransa kwa Mtawa Marie Simon-Pierre Normand aliyekuwa akikaribia kufa April.2005, na huko Costa Rica ambako mama mmoja alipona kwa kupeleka maombi yake kupitia Baba Mtakatifu Yohane Paulo wa II hivi karibuni.

kwa habari zaidi ingia
No comments
Post a Comment