Writen by
sadataley
3:28 PM
-
0
Comments
"EVANGELICAL LUTHERAN CHURCH IRINGA DIOCESE WITH BERLIN LUTHERAN MISSION WILL INCREASE MORE CHILDREN
AT HURUMA DIACONICAL CENTER"SAID DR. REIHARD KEES
REV.DR.REIHARD KEES
BERLIN MISSION SECRETARY FOR TANZANIA AND SOUTH AFRICA
MR. NAYMAN CHAVALLA
E.L.C.T-IRINGA DIOCESE GENERAL SECRETARY
MRS. CONSTANCIA CHILEWA DIACONICAL CENTER MANAGER
FROM LEFT MS. CONSTANCIA CHILEWA , REV. JAPHET MBWANJI AND DR. KEES
ONE OF HURUMA BUILDINGS
ONE OF THE BUILDING WHICH WAS CONSTRUCETED BY BERLIN MISSIONDR. KEES WITH SOME OF THE BENEFICIARIES
AT LEFT SIDE MR. NOEL ILOMO TREASURER OF THE E.L.C.T-IRINGA DIOCESE
SHARING IDEAS WITH MR. SAID NASSORO WHO IS THE REGIONAL SOCIAL WELLFARE OFFICER
FORMER GIRLS DORMITORY
" THIS IS GIRLS DORMITORY "MAMA CHILEWA SAID
ONE OF THE RAIN WATER HARVESTING SYSTEM
CHILDREN PLAYING SOCCER /FOOTBALL
MR. NAYMAN CHAVALLA WITH DR. KEES SEEMS TO BE SO HAPPY
MR. BROWN EMMANUEL PLANNING AND DEVELOPMENT OFFICER
E.L.C.T-IRINGA DIOCESE
DR. KEES ENJOYING SONGS FROM THE CHILDREN CHOIR NOT SEE IN THE PICTURE
CHILDREN AT HURUMA DIACONICAL CENTER
Na Noel Kaguo
Lutheran Berlin Mission limeahidi kusaidia baadhi ya changamoto kwenye kituo cha kulea watoto cha Huruma kilicho chini ya Dayosisi ya Iringa.
Msimamizi wa kituo cha Huruma Bi. Costancia Chilewa amesema hadi sasa shirika hilo limeweza kufanikisha ujenzi wa nyumba mbili za kuishi watoto ndani ya kituo hicho na kupunguza uhaba wa nyumba.
Amesema kwa sasa kituo kinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ongezeko la watoto ambao kwa sasa kituo kina jumla ya watoto 68 na kituo kina uwezo wa kuchukua watoto 40 pekee.
Aidha ameongeza kuwa kumekuwa na ongezeko la watoto ndani ya kituo kutokana na hali ya ugumu wa maisha kwa wananchi ndani ya jamii.
Pia ameiomba serikali kupunguza kiwango cha ada kwa lengo la kuwawezesha watoto kupata elimu ndani ya jamii ili kupunguza idadi ya watoto wanaokosa elimu ndani ya jamii na kujiingiza kwenye makundi mabaya.
Hata hivyo, Bi. Chilewa amesema kituo cha Huruma kina mipango ya uanzishwaji wa miradi mbalimbali ya kiuchumi kwa ajili ya kuwezesha kituo kujitegemea na kuondokana na kutegemea michango kutoka kwa wafadhili pekee.
No comments
Post a Comment