Writen by
sadataley
11:54 AM
-
0
Comments
Rais Kikwete azindua ujenzi wa Barabara ya Dodoma Iringa Sehemu ya Migori-Fufu Escarpment
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwahutubia wananchi waliohudhuria uzinduzi wa ujenzi wa Babarabara ya Dodoma Iringa leo mchana.

Baadhi ya Wananchi walihudhuria uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Dodoma Iringa eneo la Migori leo mchana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli(Wanne kushoto),Waziri wa Fedha Mgimwa(kushoto),Mwakilishi wa Balozi wa Japan Bwana Kazuyoshi Matsunaga(Wapili kushoto),Mwakilishi mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) Bi.Tonia Kandiero(Wapili kulia) pamoja na mbunge wa Isimani William Lukuvi wakikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Dodoma Iringa sehemu ya Migori-Fufu Escarpment na Migori Iringa leo mchana.
habari kwa hisani ya kapingaz.blogspot.com
No comments
Post a Comment