Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Saturday, March 24, 2018

Ronaldo amuharibia Mohamed Salah


Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao mawili ndani ya dakika mbili za mwisho kati ya nne za muda wa nyongeza baada ya kutimua dakika 90 za kawaida za mchezo, Ureno ikitoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Letzigrund mjini Zurich, Uswisi.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment