Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Saturday, March 24, 2018

Brazil yaipiga Urusi 3-0


Willian wa Brazil akimtoka Denis Glushakov wa Urusi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Olimpiyskiy Luzhnik, Moscow. Brazil ilishinda 3-0, mabao ya Joao Miranda dakika ya 53, Philippe Coutinho dakika ya 62 kwa penalti na Paulinho dakika ya 66.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment