Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Sunday, March 25, 2018

Rais Magufuli ashiriki Ibada ya Jumapili ya matawi Kanisa la mtakatifu Petro



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa  leo wamejumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Machi 25, 2018.



« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment