Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, July 13, 2017

Zambia yaongeza "hali ya dharura" hadi miezi mitatu

Kauli kutoka ofisi ya raisi nchini Zambia imethibitisha kuwa hali ya dharura imeongezwa kwa kipindi cha miezi mitatu nchini humo

Mabadiliko hayo yalipitishwakufuatia kura zilizopigwa na bunge la nchi hiyo mapema Jumanne hii.

Awali Raisi wa Zambia, Edgar Lungu alichukua hatua ya kuweka hali ya dharura ili kukabiliana na vile alivyodai kuwa ni "vitendo vya hujuma" vinavyofanywa na wapinzani wake baada ya moto kuchoma soko kubwa la nchi hiyo.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment