Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, July 23, 2017

Waziri Mwigulu akishangilia ushindi wa Singida United


Singida United ambayo ilikuwa imekamilisha usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu wa 2017/18, ilicheza game ya kirafiki dhidi ya Alliance Academy ya Mwanza katika uwanja wa Nyamagana na kupata ushindi wa magoli 2-0.

Mchezo kati ya Alliacne na Singida United ulihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Lameck Nchemba ambaye ni mdau na mshabiki mkubwa wa Singida United, baada ya game akaongea na waandishi wa habari.

“Kwa mchezo unaona kuwa wamecheza vizuri lakini wamekutana na Singida ambao walikuwa wamejiandaa na wenyewe walikuwa wamejiandaa sasa mmoja wao alikuwa lazima ashinde, Alliance ilipoteza mchezo mmoja dhidi ya Singida na Singida ilipoteza mchezo mmoja dhidi ya Alliance” .
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment