Nchi 10 Zenye Watu Wenye Uwezo Mkubwa Zaidi Wa Kufikiria Duniani
Writen by
sadataley
8:50 AM
-
0
Comments
Waandishi wa utafiti huu inadhaniwa kwamba IQ inaathiriwa na pato la taifa, katika orodha hii hakuna nchi yeyote ya Afrika wala America ya kusini10. Switzerland na Sweden: wastani 101 IQUswis ni mashuhuri kwa kutengeneza saa na mabenki, fani ambazo zinahitaji kiasi kikubwa chautafiti na utaalamu.Wakazi wa nchi hizi asilimia kubwa wameshika elimu za juu zaidi duniani.9. Austria: wastani 102 IQAustria ni nchi ndogo imepakana na German, Switzerland na Italy. Elimu kwao ni bure na ni lazima kwa watoto wa Austria8. Germany: wastani 102 IQNi nchi yenye uchumi imara zaidi Ulaya. Ujerumani ni moja ya nchi zenye kiwango kikubwa cha pato la taifa kwa mwaka duniani. Ni moja ya nchi zenye vyuo vya zamani zaidi duniani na vyenye viwango vya juu vya elimu7. Italy: wastani 102 IQNi moja ya nchi yenye utajiri mkubwa zaidi wa kihistoria duniani, wachoraji kutoka Italiawanajulikana sana hasa kwa ubunifu wao hapa duniani
6. Netherlands: wastani 102 IQMiaka 12 ya elimu kwa lazima imeisaidia Uholanzi kufika nafasi za juu. Mfumo wa elimu wa Uholanzi unashika namba tisa kwa ubora hapa duniani.5. Singapore: wastani 103 IQWanafunzi kutoka Singapore ni wataalamu zaidi wa masomo ya sayansi na hisabati.
4. Taiwan: wastani 104 IQSwala la elimu ni muhimu sana Taiwan3. Japan: watani 105 IQNchi hii ni wataalamu sana wa maswala ya technolojia na vitu vya electronics. Chuo kikuu cha Tokyo ni chuo bora zaidi kuliko vyote barani Asia na moja kati ya vyuo 25 bora zaidi duniani.Wanafunzi wa Nchi hii pia wanafanya vizuri sana katika masomo ya sayansi nahisabati2. Korea Kusini: wastani 106 IQKorea kusini wanafurahia Internet yenye kasi zaidi duniani, ambayo inawasaidia katika utafiti na kupata habari ukilinganisha na nchi nyingine1. Hong Kong: wastani 107 IQHong Kong ipo juu zaidi katika hisabati na sayansi na ni moja ya nchi zenye utoaji wa elimu bora zaidi
No comments
Post a Comment