Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, April 27, 2017

TMF yazipa nguvu Blog na Tv Online


Mfuko wa vyombo vya habari nchini TMF umeweka mikakati ya kuenua tasnia ya  habari nchini kwa kuwa nguvu ya ruzuku waandishi wa habari za Blog, na Tv Online kwa kuwapa msaada wa fedha na vifaa.

Razia  Mawanga Ofisa wa TMF  akizungumza na Muungwana Blog kwenye maandalizi ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, amesema kuwa TMF imekuwa mstari wa mbele kuwapa semina elekezi waandishi wa Habari wa Blog mbalimbali na Tv Online ili kuripoti masuala ya kijamii kwa uweledi wa taaluma ya uandishi wa Habari.

Amevitaka vyombo na waandishi wa habari vya Online Blog kuwasilisha mawazo yenye tija kwa umma ili wapate ruzuku kama vyombo vengine
Habari na Muungwana Blog 
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment