Writen by
sadataley
12:46 PM
-
0
Comments
Kupitia ukurasa Instagram wa Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete
ameandika ujumbe Kuhusu kifo cha Bi Nuru kama unavyosomeka hapo chini...
"TANZIA Ndugu na Marafiki nasikitika kuwatangazia Msiba/Kifo cha Bibi
Yetu Bi.Nuru Khalfan Kikwete Kilichotokea asubuhi hii katika Hospitali
ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa Matibabu. Taratibu za mazishi
tutajulishana . Innallilllah wainnaillah rajuun.#"
No comments
Post a Comment