Writen by
sadataley
1:06 PM
-
0
Comments
Msanii wa Filamu kutoka nchini
Nigeria, Meke Ezuronye akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam kuhusiana ujio wake hapa nchini.
Picha na Philemon Solomon-Fullshangweblog.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni
na Michezo Mhe Nape Nnauye akifafanua kuhusina na ujio wa Msanii huyo
(kushoto) Msanii wa Filamu kutoka nchini Nigeria, Meke Ezuronye.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni
na Michezo Mhe Nape Nnauye (katikati) akimsindikiza Msanii wa Filamu
kutoka nchini Nigeria, Meke Ezuronye (kulia) mara baada ya kungumza na
waandishi wa habari.
Picha na Fullshangwe blog
No comments
Post a Comment