BAWACHA WATOA MSAADA TAASISI YA SARATANI YA OCEAN ROAD
Writen by
sadataley
1:17 PM
-
0
Comments
Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha)
jana wametoa msaada wenye thamani ya Sh 900,000 katika Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road ikiwa ni katika maadhimisho ya wiki ya Wanawake
Duniani.
Akikabidhi msaada huo leo, Mbunge wa Vitu Maalum Chadema
Suzan Lyimo amesema msaada huo ni pamoja na kifaa cha kuwekea nguo za
wagonjwa chenye thamani ya Sh 600,000.
Picha na Chadema Blog
No comments
Post a Comment