Writen by
sadataley
2:41 PM
-
0
Comments
AMA KWELI MUNGU AKIKUITA HAKUNA WAKUKUZUIA
Tarehe 05-02-2012 ilikuwa ni siku ya kushangaza mbinguni na duniani.
Ni Ubarikio wa Mchungaji Kurwa Joram Michael Sadataley
Baada ya Safari ndefu ya masomo na mapito hatimaye mtoto wa mjini abarikiwa.
"...Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni..." Mathayo 21:42
"...Lisha Kondoo Zangu...." Yohana 21:17
"... Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana..." Yoshua 24:15
Rev. Kurwa Sadataley with Roger and Trish
"FREE AT LAST, FREE AT LAST . THANKS GOD I'M FREE AT LAST-Martin Luther King Jr"
No comments
Post a Comment