Writen by
sadataley
2:27 PM
-
0
Comments
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mgeni wake Rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 kwa ajili ya kurejea nchini kwake
Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mgeni wake Rais wa
Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere Terminal 1 kabla ya kuondoka ma kurejea nchini kwake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza kuelekea kwenye ndege
mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kumaliza
ziara yake ya siku mbili hapa nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni wakati nyimbo za Mataifa mawili zilipokuwa
zikipigwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal
1.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakifurahia jambo wakati
walipokwenda kumsindikiza Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni kabla hajapanda ndege na kurejea nchini kwake
Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake hapa nchini.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
akiagana na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kabla hajapanda ndege
na kurejea nchini kwake Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake hapa
nchini.
Mmoja wa Mtumbuizaji Uwanjani hapo akionesha umahiri wake wa kupuliza Tarumbeta.
Benderea za Matifa mawili ya Uganda na Tanzania zikipepea Uwanjani hapo.
PICHA NA IKULU
No comments
Post a Comment