Writen by
sadataley
8:49 AM
-
0
Comments
Waziri wa nishati na madini ,Professa Sospeter Muhongo akisalimiana na mmoja kati ya wafanyakazi wa mgodi wa RZ UNION |
Waziri wa nishati na madini ,Professa Sospeter Muhongo na msemaji na mwanasheria wa Mgodi wa RZ UNION ,Frances Kiganga wakati alipotembelea mgodi huo. |
Waziri wa nishati na madini ,Professa Sospeter Muhongo akisalimiana na meneja wa mgodi huo ,Bw Gexiu Liu. |
Waziri wa nishati na madini ,Professa Sospeter Muhongo akizungumza na baadhi ya wahanga wa tukio la kufukiwa na kifusi. |
Waziri wa nishati na madini ,Professa Sospeter Muhongo,akiteta jambo na mkuu wa Mkoa wa Geita meja jenerali mstaafu Ezekiel Kyunga |
|
Baadhi ya wahanga na wasio wahanga wakifatilia kile ambacho kilikuwa kikiendelea |
Msemaji na Mwanasheria wa Mgodi huo,Frances Kiganga akiwakilisha taarifa kwa waziri wa nishati na madini. |
Anset Masanja akimwelezea waziri wa nishati na madini namna ambavyo hali ilikuwa siku nne ambazo walikuwa wamefukiwa na kifusi. |
Waziri wa Nishati na madini,Professa Muhongo akimweleza Mbunge Bukwimba namna ambavyo wizara imejipanga kuwasaidia wachimbaji wadogo. |
Waziri wa Nishati na madini,Professa Muhongo akizungukia maeneo ya mgodi wa RZ. |
Waziri wa Nishati na madini,Professa Muhongo,Akipatiwa maelezo na msemaji wa mgodi wa RZ kwenye eneo ambalo waliwaokolea ndugu ambao walifukiwa na kifusi. |
Moja kati ya wahanga wa tukio hilo akionesha ramani ya shimo ambalo lilijifukia kwa waziri wa nishati na madini,Mh Prof Sospeter Muhongo. |
No comments
Post a Comment