Writen by
sadataley
4:43 PM
-
0
Comments
PINDA ANZA ZIARA YA MKOA WA IRINGA.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa jana
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma ya kikundi cha Mangala baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoan Iringa jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua maabara ya Chuo Kukuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa wakati alipotembelea Chuo hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa jana 2015. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mkadala.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mtalaamu wa Mifumo ya computer wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa, Ibrahimu Mwahu wakati alipokagua maabara ya chuo hicho akiwa katika zaiara ya mkoa wa Iringa jana. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru Kawambwa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kupokea taarifa ya mkoa wa Iringa kwenye ikulu ya Iringa Februari 18, 2015. Kushoto ni Mkuu wamkoa wa Iinga , Amina Masenza. Mheshimiwa Pinda yuko katika ziara ya kikazi mkoani Iringa
Badhi ya viongozi wa mkoawa Iringa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao Februari 18, 2015 akiwa katika ziara mkoa wa Iringa jana.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments
Post a Comment