Writen by
sadataley
2:51 PM
-
0
Comments
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano toka Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini Mtwara.
Afisa Mawasiliano wa Ofisi ya Rais Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Kassim Nyaki akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini Mtwara.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akimshukuru Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell mara baada ya kumaliza mafunzo yake ya Siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi cha Maafisa Ha oleo Mjini Mtwara
No comments
Post a Comment