Writen by
sadataley
2:47 PM
-
0
Comments
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi wengine wa CCM na ndugu wa aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma wakiomba dua kwenye kaburi lake lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitia sahihi kitabu cha wageni kwenye kaburi la hayati Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba.
Kaburi la aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ,Hayati Dk.Omari Ali Jumaaliyefariki tarehe 4 Julai 2001
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) akiwa na Sheikh Ali Abdala Ali pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Vuai Ali Vuai , Balozi Ali Karume(kushoto) wakizungumza baada ya kuzuru kabuli la aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma wakiomba dua kwenye kaburi lake lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba.
Chanzo: MJENGWA BLOG
No comments
Post a Comment