Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Friday, November 14, 2014

Mkutano wa G20 kuanza Jumamosi Australia

   
Mji wa Brisbane, Quensland umeandaa mkutano wa siku mbili

Viongozi wa dunia wanawasili nchini Australia kwa ajili ya mkutano wa G20 utakaoanza siku ya jumamosi wiki hii mjini Brisbane.
Mkutano huo wa siku mbili ambao utawahudhuriwa pia na Viongozi wa Marekani, China na Urusi utaangazia maswala ya utangenezaji wa ajira, namna ya kubaini udanganyifu kwenye maswala ya ushuru na kuimarisha uchumi wa dunia.
Uhusiano kati ya Urusi na Ukraine pia utaangaziwa, huku wanaharakati wakitaka suala la mabadiliko ya hali ya hewa kuwa miongoni mwa ajenda.
Habari kwa hisani ya BBC swahili
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment