Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, November 9, 2014

Lorreta Lynch ateuliwa kuwa mwanasheria mkuu Marekani

Rais Barack Obama (kulia) baada ya kumteuwa Loretta Lynch (kushoto) kuwa mwanasheria mkuu mpya, White House, November 8, 2014.
Rais Barack Obama (kulia) baada ya kumteuwa Loretta Lynch (kushoto) kuwa mwanasheria mkuu mpya, White House, November,2014.
Rais wa Marekani Barack Obama Jumamosi amemteuwa Loretta Lynch ambaye ni mwendesha mashtaka mkuu wa serikali New York, kuwa mwanasheria mkuu mpya Marekani.
Endapo ataidhinishwa na baraza la Senate,Lynch atachukua nafasi ya mwanasheria mkuu anayeondoka Eric Holder na kuwa M’marekani wa kwanza mwanamke mweusi kushika wadhifa huo.
Hadi uteuzi huo, Lynch alikuwa  mwendesha mashtaka mkuu wa serikali ya Marekani  huko Brooklyn New York.
Awali, msemaji wa White House Josh Earnest alisema Bi Lynch mwenye umri wa miaka 55, alisomea uwanasheria katika chuo kikuu cha Harvard na ana uzoefu wa kazi kama mwendesha mashtaka wa kibinafsi, aliyeongoza mojawapo ya ofisi muhimu za mkuu wa sheria nchini Marekani.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment