Writen by
sadataley
6:57 AM
-
0
Comments
FILIPE NYUSI ALIPATA MIKOBA YA CCM KUSHINDA UCHAGUZI MSUMBIJIFrelimo na CCM wana urafiki mkubwa sana kiasi cha kusaidiana katika mikakati ya kupata ushindi kwenye chaguzi zao.
Kilifuatilia kwa karibu kwa kuwa pia CCM na Chama cha FRELIMO ni vyama ndugu vyenye historia moja na ya pamoja ya Ukombozi Kusini mwa Afrika.
Historia hiyo ndiyo iliyomfanya Rais Mteule wa nchi hiyo Ndugu Filipe NYUSI mara baada ya kuteuliwa kwake na FRELIMO kugombea Urais, nchi ya kwanza kuitembelea kuwa Tanzania.
Ikumbukwe kwamba huyu si mgeni hapa Tanzania. Kama wanaharakati wengine wa ukombozi, Ndugu NYUSI aliishi Tanzania, anaongea vizuri Kiswahili na anaichukulia Tanzania ni nyumbani.

No comments
Post a Comment