Writen by
sadataley
5:41 AM
-
0
Comments
BENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA WAJITOKEZE KUZINUNUA
Pichani kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Mkombozi,Bwa Masha J. Mshomba akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) hapo jana jijini Dar kuhusiana na kuwafahamisha Watanzania kuhusu mauzo ya awali ya hisa za benki yao ya Mkombozi,ikiwemo pia na kuwaomba Watanzania washiriki katika ununuzi wa hisa za Benki hiyo ya Mkombozi,kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Mkombozi Bwan. Edwina Lupembe.
No comments
Post a Comment