Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, August 10, 2014

Ebola:Raia wa Liberia wafanya maandamano


Maafisa wa polisi wavunja maandamano nchini Liberia

Polisi wa kukabiliana na ghasia nchini Liberia wamevunja maandamano dhidi ya vile serikali inavyolichukulia swala la kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola.
Waandamanaji walio kasirika waliweka vizuizi katika barabara kuu na kusema kuwa serikali haichukui miili ya waathiriwa wa ugonjwa huo.
Shirika la Afya Duniani WHO limeutaja ugonjwa huo kama wa dharura na hatari katika kipindi cha miongo minne.
Guinea imefunga mpaka wake na Sierra Leone na Liberia ,huku Nigeria ikitoa wito kwa watu waliojitolea kusaidia kusitisha ueneaji wa ugonjwa huo.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment