Writen by
sadataley
11 years ago
-
0
Comments
Man U imevutiwa na ukufunzi makini wa Van Gaal, lakini je ataweza kuirudisha M U kileleni?
Alipowasili kwenye uwanja wa mazoezi Carrington amesema hana jipya zaidi ya kujenga mshikamano zaidi miongoni mwa wachezaji.
'Ni lazima tuimbe wimbo huohuo ulioisaida timu ya Uholanzi ililowaezesha kukaribia ushindi wa kombe la dunia na kuibuka nafasi ya tatu kwa kuwafunga wenyeji Brazil' amesiitiza
Kombe la dunia Brazil lilikuwa jukwaa la kupima busara ya Man U kumsajili kocha Gaal
No comments
Post a Comment