Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Thursday, July 17, 2014

£8m zamhamisha Demba Ba hadi Uturuki


Demba Ba sasa kuvaa jesi ya Besiktas ya Uturuki

Usajili mpya na mikataba mipya kwa wachezaji vinara ndio shughuli kuu inayoendelea sasa kabla msimu mpya wa michuano kuanza..
Pamoja na kasheshe zinazomuandama, Suarez sasa yuko Bacelona 100% baada ya kuihama Liverpool, nae Demba Ba tayari amewasili Uturuki anakotarajiwa kukamilisha uhamiaji wake kutoka Chelsea hadi Besiktas kwa gharama ya £8m.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa mika 29 ameyathibitisha hayo katika mtandao wa Twitter akionekana tayari kavalia jesi ya Besi-ktas. "amesema yaliyobaki ni kukamilisha ukaguzi wa kiafya na kuweka saini mkatba....
Demba Ba aliifungia Chelsea mabao si haba!
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment