Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, July 17, 2014

PICHA ZA AWALI MAZISHI YA MAMA MCHUNGAJI ORIDA NJOLE (Habari hii nim kwa hisani ya Gospel Kitaa)

Zifuatazo ni picha za awali za maazishi ya muimbaji wa nyimbo za dini, Orida Njole ambaye alifariki dunia siku ya Jumamosi kwenye hospitali ya Temeke. Orida Njole ambayepia alikuwa mama Mchungaji kwenye kanisa la 'Oasis of Victory Church', mume wake akiitwa Peter Simon - amezikwa kwenye makaburi ya mwisho wa lami, Kijiji cha Wagogo, Salasala, baada ya kumaliza ibada ya maazishi iliyofanyika Salasala Kwa Swai.
Endelea kutembelea GK, na picha kamili za safari ya mwisho za Orider zitakujia. BWANA  ametoa na BWANA ametwaa, Jina la BWANA lihimidiwe.



« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment