Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, February 15, 2014

Waziri mkuu Italia radhi kuondoka

Enrico Letta
Rais wa Italia, Giorgio Napolitano, amepokea barua ya kujiuzulu kwa waziri mkuu, Enrico Letta. Letta aliiwasilisha rasmi barua hiyo siku moja baada ya chama chake kupiga kura kujitoa kwenye muungano wa utawala.
Hakuweza kujitetea jana .
Kitakacho fanyika sasa kimo mikononi mwa rais wa Italia, Napolitano.Wandani wake katika chama chake cha Democratic ndio waliomfuta kazi. Hatua hiyo iliunga mkono changamoto dhidi ya Letta kutoka kwa kinara mpya ambaye ni kijana mwenye maono Matteo Renzi.
Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa wa rais huyo kumchagua Bw. Renzi kuwa waziri mkuu kisha aunde serikali.
Hicho kitakuwa kilele cha safari ya uongozi wake. Bw.Renzi aliye na umri wa miaka thelathini na tisa, hajawahi kuchaguliwa bungeni, wala kuitumikia serikali. Ni wazi kwamba hana uzoefu lakini ni analeta matumaini ya kuleta mageuzi.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment