Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, February 6, 2014

Ufaransa kuteketeza pembe za Ndovu

Biashara haramu ya pembe za Ndovu hufaidi zaidi Bara Asia
Tani tatu ya pembe za Ndovu zitateketezwa hii leo Nchini Ufansa ili kuonyesha kujitolea kwa serikali ya taifa hilo katika vita dhidi ya biashara hiyo haramu.
Wizara ya mazingira itatekeleza uchomaji huo wa shehena ya pembe za Ndovu zilizonaswa katika uwanja wa ndege wa Charles de Gaulle.
Muungano wa kimataifa wa uhifadhi wa mazingira, umesema kwamba takriba ndovu elfu 22 mwaka 2012.Ufaransa ni taifa la kwanza barani Uropa kuharibu na kuchoma hadharani pembe haramu za Ndovu.
Pembe haramu za ndovu huuzwa sana Nchini China na kwingineko barani Asia.
China ndio taifa kubwa lenye kufaidi kutokana na biashara haramu ya pembe za Ndovu
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment