Writen by
sadataley
10:27 AM
-
0
Comments
WANANCHI wa vijiji zaidi ya vinne wilayani Mvomero jana walifunga barabara kuu ya Iringa – Morogoro, kwa kulala barabarani kwa saa nane wakilalamikia wafugaji kuharibu mashamba yao. Lengo la uamuzi wa wananchi hao wa Kata ya Doma, lilikuwa kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ili wafikishe kero zao kuhusu vitendo vya wafugaji wa jamii ya Kimasai katika mashamba yenye mazao. ..kwa habari zaidi ingia http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/15935-wafunga-barabara-kupinga-wafugaji
No comments
Post a Comment