Writen by
sadataley
10:29 AM
-
0
Comments
RIPOTI ya Serikali kuhusu ufisadi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inatarajiwa kutolewa muda wowote huku ikielezwa itaweka wazi kila kitu kuhusu matatizo yaliyomo. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki ambaye amesema ripoti itatolewa muda wowote kuanzia sasa, alisema hayo jana wakati akizungumza na mwandishi kuhusu shutuma zilizotolewa dhidi yake na Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni zikihusisha mamlaka hiyo. Kwa habari zaidi ingia http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/15946-mchungaji-msigwa-kagasheki-watuhumiana
No comments
Post a Comment