Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, August 13, 2013

"WAZAZI WANAPASWA KUWAFUNDISHA WATOTO ZAO NAMNA YA KULINDA MAISHA YAO" ASEMA PAPA FRANCIS

Pope Francis celebrates Mass on Copacabana Beach during WYD (AP)
Papa Francis alipokuwa katikati ya Misa kstiks kipindi cha siku ya WYD

Kuwa mwadilifu na kufanya matendo mema ambayo yatatupendeza sisi na yatawapendeza wengine,ni lazima kufanywa katika jamii kwani ni kifo ambacho ndicho huweza kututenganisha nahayo yote" Papa Francis alisema hayo alipokuwa akizungumza na umati wa watu katika siku ya WYD

Wazazi wanaitwa ili waweze kupita katika njia za watoto wao na kuweza kuwafundisha namna ambavyo watoto wanaweza wakalinda maisha yao.Pia Papa aliweza kumalizia kwa kukazia kwamba kwa upande wa wazazi ni lazima wapigane juu ya maisha ya watoto wao na kuhakikisha kwamba watoto wao wanaishi katika mazingira mazuri na yenye kuwafanya wakawa na furaha maishani mwao.

kwahabari zaidi tembelea http://www.catholicherald.co.uk/news/2013/08/13/parents-must-teach-children-to-defend-life-says-pope/
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment