Writen by
sadataley
12 years ago
-
0
Comments
Baada ya kutamba na na album mbalimbali kama "Hakuna Mungu kama wewe", Hakuna Mwanaume kama Yesu" na nyinginezo kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran hii inatarajia kufanya uzinduzi wa kanda yake iliyorekodiwa live December mwaka jana katika ukumbi wa Living water Makuti Kawe jijini Dar es salaam. Uzinduzi wa album hiyo waliyoipa jina la "Namtangaza Kristo" utafanyika kanisani kwao Kijitonyama siku ya tarehe mosi September 2013.
Kutoka kwao tumekuchagulia wimbo "Nakimbilia Msalabani" wimbo huu wamerekodiwa na camera ya kawaida wakiimba katika moja ya ibada kanisani kwao Kijitonyama. Sikiliza maneno yake na muziki ulivyopangiliwa natumaini utabarikiwa nao. Ili kangalia video ingia hapa http://www.youtube.com/watch?v=4hgjR8clalw
Habari na Gospel Kitaa
No comments
Post a Comment