Writen by
sadataley
12 years ago
-
0
Comments
WAKATI ufadhili katika masuala ya huduma za Ukimwi nchini ukielekea ukingoni, Halmashauri ya Manispaa ya Bagamoyo, imetangaza kutenga Sh milioni 25 kuanzia msimu wa 2013-2014 kwa ajili ya kuendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa huo. Chanzo http://www.habarileo.co.tz
No comments
Post a Comment