Writen by
sadataley
12 years ago
-
0
Comments
Na Rachel Balama
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, a mesemaSe rikali itaendelea kufanya kazi kwa karibu na Taasisi yaSektaBinafsi Tanzan ia( TPSF)kam anjia yakuima rishase kta binafsinchinina kuifan yaku wainji ni yaukua jiwauchuminaus tawiwa j amii.
Kauli hiy oilitol ewana Waziri Mkuu, Pinda katika mkutano mku uw a14wa taa sisihiyou liofan yika mwishoni mw awik ijijini Dares Sa laa mn akusi sitiza kuwaniay a serikaliniku onak uwataasisi hiyo inas hikah ata muka tikauc humi wanchi.
Alisemak wamuda wamia kamita tusasaj itih adaza makusudi zaserik alina wad auwas ektabi nafsi zimeelekezwa katika ku jengasau tim ojaya sekt abina fsiTanzania.
“Ni matumai niyangukwamba, taasisi yenu itate kelezamajukumuyakeya msing i ya kuteteamaslahi yas ektabinafsi nakuta futaufumbu ziw ach an gamotozinazo ika bili sekta binafsi nchini kwa ufanisiwa ha liyajuu,” al isemanakuongeza kuwa;
“Ninafarijika kwamba tayari matunda ya jitihadahizi ya meanzakuonekanakwa kuweka mfumo madhu bu tiwauo ngozikwenye taasisiyenu tofauti nailivyo kuwa awali. ”
Alisemakuwadha mirayase rikalini kuona lengo hilo lina fani kiw ailikuwa namajadilia nonamash aur ianoyenye tijakatiyase rik ali nasek ta binafsika m a w abiawamae ndeleokwamaslahiy anchi.
Alibainisha kuwa mkutano huu mkuu ni ushahidi wa mafanikio yajitihadahiziz akujengaSektaBina fsim adhu butinch ini.
Alisema kwa k utambua umuh imuwa sekta binafsi serikali iliamuak ufanyamabadi likoy amwele keowaseraza ke zakiuchum ikatika m iaka ya1990 ili kutoka kwenye uchumi hodhi kwenda uchumi unaotawaliwa na nguvu za sok o.
Alise makati kakuimarisha sektabinafsi kama injini ya ukuajiwa uchumi wa nchi serikaliinatekeleza ser anami kakati mbalim ba likwa l eng olakukuza ushindani wakatika sekta hiyo.
Akitoa mfano ya mikakati hiyo, alisema kuwa serikali inaendele a najithad azakuimaris hamiun dombinuyakiuchu mi ikiwemobara bara,re li, bandari,viw anjavya ndeg e p amojanami fumoya uzalish ajinaus afir ishaji nausambazaji wa umeme namaji ilik uvutiabia sha ranauwekeza ji.
Akitoa mfano wa changamoto ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, alisema kuwa ni fursa ambayo inaweza kutumiwa na sekta binafsi kwa kusanifu na kujenga miundombiunu hivyo kushiriki katika uwekezaji kwa manufaa ya ukuaji wa uchumi wa nchi.
Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu, alielezea jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali kwa lengo la kuimarisha sekta binafsi nchini ikiwemo kushirikiana na sekta hiyo kuandaa sera ya maendeleo ya sekta binafsi nchini.
Chanzo Gazeti la Majira
No comments
Post a Comment