Writen by
sadataley
10:05 AM
-
0
Comments
Hatimaye baada mafundisho kwenye mikoa mbalimbali, Arusha sasa kuhudumiwa na mtumishi wa Mungu mwalimu Christopher Mwakasege pamoja na mkewe Diana, ambapo wataleta huduma ya Mana jijini kuanzia tarehe 25 Agosti hadi tarehe 1 (mosi) Septemba 2013.
Kwa mujibu wa ratiba ambayo Gospel Kitaa imeshuhudia, tarehe 25-01 itakuwa kwa ajili ya watu wote, wakati tarehe 31 Agosti itakuwa maalum kwa vijana na wanavyuo wote katika uwanja wa Reli.
Unaweza sasa kupanga ratiba yako vema ili usipitwe na mambo haya mazuri, na hakuna kiingilio.
Habari na Gospel Kitaa
No comments
Post a Comment