Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, August 21, 2013

Mahakama yaamuru Mubarak kuachiliwa huru

Mahakama mjini Cairo imetoa amri ya kuachiliwa huru kwa aliyekuwa rais wa Misri Honsi Mubarak.

   
                                                                                         Hosni Mubarak
Mahakama hiyo imeamuru Mubarak kuachiliwa huru kutokana na mashitaka ya rushwa yaliyokuwa yanamkabili.
Lakini bado haijajulikana kama ataachiliwa baadaye jumatano ya leo.  Upande wa mashitaka unatarajiwa kukata rufaa.
Kiongozi huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 85 anakabiliwa pia na kesi ya kushiriki kwenye mauwaji ya malefu ya raia walioandamana kwenye vuguvugu la mapinduzi lililomtoa madarakani mwaka 2011.
Alifungwa kifungo cha maisha jela mwaka jana, lakini alikata rufaa na kushinda na kesi yake kutakiwa kusikilizwa upya.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment