Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, August 21, 2013

ASKOFU DR. OWDENBURG MOSES MDEGELLA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI KUU KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUJIKWAMUA KATIKA UMASIKINI

 Katibu Mkuu wa Dayosisi Bw. Nayman Chavalla akimkaribisha Baba Askofu Dr. Owdenburg M.Mdegella ili aweze kuwasalimu Watumishi wa Ofisi Kuu katika Chapel ya Ofisi Kuu leo hii
  Baba Askofu Dr. Owdenburg M.Mdegella akitoa salamu zake kwa  Watumishi wa Ofisi Kuu katika Chapel ya Ofisi Kuu leo hii. Aliwataka kufanya kazi kwa bidii na kuona kwamba Mungu atawauliza siku moja ni jambo lipi waliloliacha hapa duniani.
Hapa akisisitiza juu ya matumizi sahihi ya Ulimi kama kichwa cha kalenda ya kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kinavyosema kwa wiki hii. Tuache maneno,mizaa na tuone kuwa tunapaswa kupiga hatua ili tuondokane na hali zetu duni za kimaisha(umasikini)
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment