UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

Monday, August 19, 2013

Kamati Kuu ya CCM Zanzibar yakutana leo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Chama alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui, kushiriki katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu CCM Taifa,kilichofanyika leo Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akiendesha Mkutano wa Siku Moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM,katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar

Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu CCM Taifa,kilichofanyika leo Mjini Zanzibar,wakifuatilia kwa makini mada wakati kikao hicho kikiendelea chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani).{

Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya CCM Taifa NEC,wakiwa tayari kuweka kumbu kumbu ya michango mbali mbali itakayotolea kufuatia mada zitakazotolewa katika Kikao cha siku moja chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment