Writen by
sadataley
8:52 PM
-
0
Comments
baadhi ya wenyeji wa Pomerini wakiwa wanaonekana wenye sura za furaha mara tu baada ya kupokea wageni wao Usharikani hapo.
Hao ni baadhi ya wenyeji wa Pomerini walioonekana wakiwa na nyuso za furaha mara tu baada ya kupokea wageni kutoka Iringa walioongozana na mmiliki wa Blog hii Mch. Kurwa Sadataley
Hilo ndilo kaburi la Mmisionari wa kwanza wa huko Pomerini aliyeitwa Helman Neuberg na ndiye mwanzilishi wa kwanza wa Ulutheri katika Mkoa wa Iringa.
Hiyo ndiyo barabara inayoelekea katika Usharika wa Pomerini, mazingira yakionekana ni masafi na yenye kuvutia.
Hilo ndilo Kanisa la kwanza la KKKT lililopo maeneo ya Pomerini katika Mkoa wa Iringa,Nje wakiwa ni wanafunzi wa Ete waliopo huko Pomerini.
Hilo ndilo Kanisa jipya ambalo lilijengwa huko Pomerini na ndilo ambalo hutumiwa na waumini wa Pomerini kama nyumba ya kufanyia Ibada maeneo hayo.
Huo ndio Mnara utambulishao kaburi la Mmisionari wa kwanza aliyeanzisha ulutheri katika mkoa wa Irnga maeneo ya Pomerini.
hilo ndilo dastibini ambalo watu wa Pomerini hulitumia kama chombo cha kuwekea takataka ambazo kama zikiachwa ovyo huweza kuyafanya mazingira yaonekane ni machafu.
Imewekwa na Happy Adam
No comments
Post a Comment