Writen by
sadataley
7:13 AM
-
0
Comments
SERIKALI tatu zinaweza kuongozwa na Rais mmoja bila kuwabebesha wananchi gharama za kuhudumia marais watatu. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta alisema kama itatokea Katiba inapitisha kuwepo serikali mbili au tatu, basi ni vyema Rais akawa mmoja na wengine wakapewa vyeo vingine ili wananchi wasipewe mzigo na gharama za kuhudumia viongozi.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Kwa habari zaidi ingia:-www.magazetini.com/news/rais-mmoja-aweza-kuongoza-serikali-tatu
No comments
Post a Comment